• +255 762 316 819
  • info@tumainisaccos.co.tz
  • Njiro, Arusha - Tanzania
AGM
TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA 33 TUMAINI SACCOS LTD TAREHE 02/10/2022 HOTELI YA NGURDOTO

TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA 33 TUMAINI SACCOS LTD TAREHE 02/10/2022 HOTELI YA NGURDOTO

Bodi ya TUMAINI SACCOS inayo heshima kuwataarifu wanachama wote kwamba kutakuwa na Mkutano Mkuu tarehe 02 OKTOBA 2022 kuanzia saa 8:00 mchana katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Ngurudoto, iliyopo wilaya ya Meru DC Mkoani Arusha. Pamoja na mambo mengine, vitabu vilivyokaguliwa vya mwaka 2021 na makisio ya bajeti ya mwaka 2023 vitawasilishwa.

Tangazo hili linaletwa kwa mujibu wa Kanuni ya vyama vya Ushirika Na. 46 (1-4) ya mwaka 2015 inayohusu taarifa za mikutano.

Read More

0

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *