• +255 762 316 819
  • info@tumainisaccos.co.tz
  • Njiro, Arusha - Tanzania
AGM
TANGAZO RASMI LA MKUTANO MKUU WA 32 WA TUMAINI SACCOS TAREHE 23/10/2021 UKUMBI WA LUSH GARDEN ARUSHA

TANGAZO RASMI LA MKUTANO MKUU WA 32 WA TUMAINI SACCOS TAREHE 23/10/2021 UKUMBI WA LUSH GARDEN ARUSHA

Husika na kichwa cha habari hapo juu, kwa mujibu wa kanuni za Vyama vya Ushirika kama zilizovyoainishwa katika Gazeti la Serikali Namba 280 la Mwaka 2004, napenda kuwataarifu kwa Notisi hii ili kukidhi matakwa ya kisheria kuwepo kwa Mkutano Mkuu mnamo tarehe 23/10/2021 utakaofanyika katika Ukumbi wa Lush Garden uliopo Jiji la Arusha, kuanzia saa 3:00 asubuhi.

0

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *